Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kuhuisha Mashahidi Wawili
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Hao wanafananishwa na mizeituni miwili na vinara vya taa viwili nao wanasimama mbele za Bwana wa dunia.”—Ufunuo 11:3, 4, NW.

  • Kuhuisha Mashahidi Wawili
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Yohana anawaita “mizeituni miwili na vinara vya taa viwili,” akisema kwamba wao “wanasimama mbele za Bwana wa dunia.” Hili ni rejezo la wazi kwenye unabii wa Zekaria, ambaye aliona kinara cha taa chenye matawi saba na mizeituni miwili.

  • Kuhuisha Mashahidi Wawili
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Njozi ya vinara vya taa ilikumbusha Zekaria ‘asidharau siku ya vitu vidogo’ kwa sababu makusudi ya Yehova yangetimizwa—“‘si kwa kani ya kijeshi, wala kwa nguvu, bali kwa roho yangu,’ Yehova wa majeshi amesema.” (Zekaria 4:6, 10; 8:9, NW) Kile kikosi kidogo cha Wakristo kilichodumu katika kupelekea aina ya binadamu nuru ya ukweli wakati wa vita ya kwanza ya ulimwengu kingetumiwa jinsi iyo hiyo katika kazi ya kujenga upya. Wao pia wangekuwa chanzo cha kitia-moyo na, wajapokuwa wachache, wangejifunza kutegemea imara ya Yehova, wasidharau siku ya mianzo midogo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki