-
Makusanyiko ya Wilaya ya Wakati wa Kiangazi Nchini Urusi Yaleta BarakaMnara wa Mlinzi—2011 | Machi 1
-
-
Kwa mfano, mwaka wa 2008, Mashahidi wanaoishi jijini Cheboksary, katika Jamhuri ya Chuvash, walilazimika kufanya kusanyiko lao la wilaya katika uwanja mkubwa wa kupigia kambi uliozungukwa na mibetula, karibu na Mto Volga.
-
-
Makusanyiko ya Wilaya ya Wakati wa Kiangazi Nchini Urusi Yaleta BarakaMnara wa Mlinzi—2011 | Machi 1
-
-
Wajumbe walipowasili, waliona viti vingi vya plastiki vya rangi ya bluu vilivyopangwa vizuri. Mbele kulikuwa na majukwaa mawili yaliyopambwa kwa maua—moja kwa ajili ya programu ya lugha ya Kirusi na lingine kwa ajili ya programu ya lugha ya Kichuvashi.
-