Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Urusi
    2008 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Yehova aliona uhitaji huo, na watafsiri walipatikana katika nchi mbalimbali. Mmoja wao alikuwa Aleksandr Forstman, ambaye katika mwaka wa 1931 alikuwa tayari akituma makala alizotafsiri katika Kirusi kwenye makao makuu ya ulimwenguni pote kupitia ofisi ya tawi ya Denmark huko Copenhagen. Ndugu Forstman alikuwa mtafsiri mwenye bidii ambaye aliishi Latvia. Alikuwa na elimu na alielewa Kiingereza na Kirusi vizuri sana hivyo angeweza kutafsiri vichapo vya Biblia haraka. Mwanzoni, alitumia saa chache tu kila juma kutafsiri, kwa kuwa alifanya kazi ya kimwili ili kumwandalia riziki mke wake ambaye hakuwa Shahidi na mtoto wao mmoja. Mnamo Desemba 1932, Ndugu Forstman, alianza kutumia wakati wake wote kutafsiri. Alitafsiri trakti, vijitabu, na vitabu. Alikufa mwaka wa 1942.

  • Urusi
    2008 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • [Picha katika ukurasa wa 84]

      Kwa karibu miaka kumi, Aleksandr Forstman alitafsiri trakti, vijitabu, na vitabu katika Kirusi

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki