Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Dyslexia Haijanizuia Kufikia Miradi Yangu
    Amkeni!—2009 | Februari
    • Twaanza Kujifunza Kilatvia

      Mnamo Mei 2002, mimi na Camilla, tukiwa tumeoana kwa miaka minne, tulialikwa tutumike kama wamishonari huko Latvia, nchi ya Ulaya iliyo mashariki ya Denmark. Camilla alijifunza Kilatvia haraka na angeweza kuzungumza baada ya majuma sita tu! Lakini ilinichukua muda mrefu zaidi. Kwa kweli, hadi leo ninahisi kwamba sijafanya maendeleo makubwa, ingawa nimesaidiwa sana. Hata hivyo, nimeazimia kuendelea kujifunza lugha hiyo.a

      Camilla anaendelea kunitegemeza sana nasi tunafurahia utumishi wetu wa umishonari. Tumejifunza Biblia na watu wengi sana wenye uthamini. Ninaposahau maneno au ninapovunja kanuni za sarufi, Mashahidi na wanafunzi wa Biblia hujaribu kunielewa kwa subira na kunisaidia. Hilo hunifanya niwe na ujasiri ninapohubiri na pia ninapotoa hotuba kwenye mikutano ya Kikristo.

  • Dyslexia Haijanizuia Kufikia Miradi Yangu
    Amkeni!—2009 | Februari
    • a Baada ya kutumika kwa miaka sita huko Latvia, hivi karibuni Henborg na mke wake walipewa mgawo wa kutumika Ghana.

  • Dyslexia Haijanizuia Kufikia Miradi Yangu
    Amkeni!—2009 | Februari
    • [Picha katika ukurasa wa 23]

      Nikiwa na Camilla huko Latvia

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki