-
Upanuzi wa Haraka Wahitajiwa kwa Sababu ya Ongezeko KubwaMnara wa Mlinzi—2002 | Mei 15
-
-
Ofisi ya tawi ya Liberia—nchi inayokumbwa na vita ya wenyewe kwa wenyewe—yaripoti kwamba Mashahidi wengi hawana kazi na wanakabili matatizo makubwa sana ya kiuchumi. Watu wa Yehova katika nchi hiyo wanawezaje kupata mahali panapofaa pa ibada? “Michango ya ukarimu ya akina ndugu katika nchi nyingine itatumiwa kufanya kazi hiyo,” yasema ofisi ya tawi. “Ni mpango wa upendo na hekima kama nini!”
-
-
Upanuzi wa Haraka Wahitajiwa kwa Sababu ya Ongezeko KubwaMnara wa Mlinzi—2002 | Mei 15
-
-
Ndugu kutoka Liberia wanasema hivi kwa furaha: “Kujengwa kwa majumba mazuri ya ibada kote nchini kutasaidia watu wajue kwamba ibada ya kweli itadumu na kutasaidia pia kutukuza na kuremba jina kuu la Mungu wetu.”
-