-
‘Mkashangilie Daima kwa Ajili ya Hivi Niviumbavyo’Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Miti ni mfano unaofaa wa maisha marefu kwa maana ina maisha marefu kuliko vitu vingine vyote vilivyo hai vinavyojulikana. Kwa mfano, mzeituni huzaa matunda kwa mamia ya miaka, na huenda ukaishi hata miaka elfu moja.
-
-
‘Mkashangilie Daima kwa Ajili ya Hivi Niviumbavyo’Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
maana kama siku za mti ndivyo zitakavyokuwa siku za watu wangu, na wateule wangu wataifurahia kazi ya mikono yao muda wa siku nyingi.” (Isaya 65:21, 22)
-
-
‘Mkashangilie Daima kwa Ajili ya Hivi Niviumbavyo’Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Je, tutapata wakati wa kutosha kuifurahia sana kazi ya mikono yetu? Kabisa! Maisha yasiyo na kikomo ya wanadamu waaminifu yatakuwa “kama siku za mti”—maelfu ya miaka, na hata zaidi!
-