-
Je, Kweli Uhai Udumuo Milele Wawezekana?Mnara wa Mlinzi—1999 | Aprili 15
-
-
2. Watu wengi huwaza juu ya tumaini gani, na kwa nini?
2 Ni jambo la maana kwamba The New York Times Magazine la Septemba 28, 1997, lilikuwa na makala “Wao Wataka Kuishi.” Lilimnukuu mtafiti aliyesema haya: “Kwa kweli naamini kwamba huenda tukawa kizazi cha kwanza ambacho kitaishi milele”!
-
-
Je, Kweli Uhai Udumuo Milele Wawezekana?Mnara wa Mlinzi—1999 | Aprili 15
-
-
Muda mfupi uliopita, Dakt. Alvin Silverstein aliandika akiwa na uhakika katika kitabu chake Conquest of Death: “Tutavumbua mambo yanayotatanisha juu ya uhai. Tutafahamu . . . jinsi mtu anavyozeeka.” Kukiwa na matokeo gani? Alitabiri hivi: “Hakutakuwa tena na watu ‘wazee’ kwa kuwa ujuzi utakaoruhusu kushindwa kwa kifo utaleta pia ujana usio na mwisho.”
-
-
Je, Kweli Uhai Udumuo Milele Wawezekana?Mnara wa Mlinzi—1999 | Aprili 15
-
-
Hata ilisemekana kwamba mtaalamu mmoja ana “uhakika kwa furaha . . . kwamba mbinu za utokezaji jeni zitapatikana mapema vya kutosha ku[tu]okoa kwa kukomesha kuzeeka, hata pengine kutokeza ujana.”
-