-
Ole wa Pili—Majeshi ya Wapanda-FarasiUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Na hivi ndivyo mimi niliona wale farasi katika njozi, na walioketi juu yao: wao walikuwa na mabamba-kifua mekundu-moto na hayakintho-buluu na salfa-manjano; na vichwa vya farasi vilikuwa kama vichwa vya masimba, na katika vinywa vyao moto na moshi na salfa vilitoka.
-
-
Ole wa Pili—Majeshi ya Wapanda-FarasiUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Nzige walikuwa na meno kama ya masimba; farasi wa majeshi ya wapanda-farasi wana vichwa kama vya masimba. Kwa hiyo, vikosi vyote viwili vinafungamanishwa na Simba wa kabila la Yuda mwenye ushujaa Yesu Kristo, ambaye ndiye Kiongozi, Kamanda, na Kielelezo wao.—Ufunuo 5:5, NW; Mithali 28:1.
-