Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Ni Nani Ambaye Anastahili Kufungua Hati-Kunjo?”
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • “Lakini mmoja wa wale wazee asema kwangu mimi: ‘Acha kutoa machozi. Tazama! Simba ambaye ni wa kabila la Yuda, mzizi wa Daudi, ameshinda ili kufungua hati-kunjo na vifungo saba vyayo.’” (Ufunuo 5:5, NW)

  • “Ni Nani Ambaye Anastahili Kufungua Hati-Kunjo?”
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • “Mwana-simba ni Yuda. Kutoka windo, mwana wangu, wewe utapanda hakika. Yeye aliinama, yeye alijinyoosha mwenyewe kama simba na, kama simba, ni nani ambaye huthubutu kuamsha yeye? Fimbo ya kifalme haitageuka kando kutoka Yuda, wala gongo la kamanda kutoka katikati ya nyayo zake, mpaka Shilo aje; na kwa yeye utii wa vikundi vya watu utakuwa.” (Mwanzo 49:9, 10, NW) Mstari wa kifalme wa watu wa Mungu ulikuwa na shina katika Yuda. Kuanzia na Daudi, wafalme wote waliotawala katika Yerusalemu mpaka wakati Wababuloni walipoharibu jiji hilo walikuwa wazao wa Yuda. Lakini hakuna mmoja wao aliyekuwa ndiye Shilo aliyetabiriwa na Yakobo. Shilo humaanisha “Yeye Ambaye [Haki] Ni Yake.” Kiunabii, jina hilo lilielekeza kwa Yesu, mmoja ambaye sasa Ufalme wa Kidaudi ni wake daima.—Ezekieli 21:25-27; Luka 1:32, 33; Ufunuo 19:16.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki