Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Msaada kwa Ajili ya Vijana wa Leo
    Amkeni!—2005 | Aprili 8
    • Bila shaka, vijana wengi wanaobalehe hupitia vipindi vya kuhisi upweke. Hata hivyo, wengine huhisi upweke kwa muda mrefu sana. Kitabu kimoja cha marejeo kuhusu kubalehe kinasema hivi: “Vijana hao husema ni vigumu kwao kuwa na marafiki shuleni, kwamba hawana mtu wa kuzungumza naye, kwamba wanahisi upweke, kwamba ni vigumu kupendwa na watoto wengine, na kwamba wanahisi kuwa hawana mtu wa kumwomba msaada.”a

  • Msaada kwa Ajili ya Vijana wa Leo
    Amkeni!—2005 | Aprili 8
    • a Kitabu hicho kinasema kwamba tofauti na kijana ambaye hujihisi mpweke mara kwa mara, yule anayejihisi mpweke kwa muda mrefu sana huhisi ametengwa mara nyingi kwa kipindi kirefu. Yeye “huamini kwamba kutokuwa na marafiki ni jambo lisiloweza kubadilika, lisiloweza kuzuiwa, na hutokea kwa sababu ya kasoro zake” na kwamba hali hiyo “haiwezi au haitabadilika.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki