-
Dumisha Amani Nyumbani MwakoSiri ya Furaha ya Familia
-
-
Je, kumpenda Yehova kutakusukuma umtolee ujitoaji ulio haki yake? Wakati uleule, je, kumpenda na kumstahi mume wako kutakufanya ujaribu kufanya hivyo kwa njia inayokubalika kwa mume wako?—Mathayo 4:10; 1 Yohana 5:3.
-
-
Dumisha Amani Nyumbani MwakoSiri ya Furaha ya Familia
-
-
8, 9. Mke atendeje ili aepuke kumwekea mume wake vipingamizi visivyo vya lazima?
8 Kuna mambo mengi yenye kutumika ambayo wewe waweza kufanya ili kuathiri mtazamo wa mwenzi wako. Kwa kielelezo, ikiwa mume wako apinga dini yako, usimpe sababu halali za kulalamikia mambo mengine. Dumisha nyumba ikiwa safi. Tunza sura yako ya kibinafsi ikiwa safi. Uwe mkarimu na maneno ya kuonyesha upendo na uthamini. Badala ya kuchambua, uwe mwenye kuunga mkono. Onyesha kwamba wamtegemea yeye akiwa kichwa. Usilipize kisasi ukihisi umekosewa. (1 Petro 2:21, 23) Kumbuka hali ya kutokamilika kwa kibinadamu, na bishano likitokea, uwe wa kwanza kuomba radhi kwa unyenyekevu.—Waefeso 4:26.
-