-
Wahasmonia na Hali WaliyoachaMnara wa Mlinzi—2001 | Juni 15
-
-
Judah Maccabee (Yuda Makabayo), kiongozi Myahudi mwenye nguvu, wa familia ya Wahasmonia, aliongoza jeshi la waasi lililokomboa hekalu hilo kutoka kwa Wagiriki.a
-
-
Wahasmonia na Hali WaliyoachaMnara wa Mlinzi—2001 | Juni 15
-
-
Baada ya kutimiza mradi wake wa kidini wa kurudisha ibada ya kweli kwenye hekalu la Yehova, Judah Maccabee aligeuka kuwa mwanasiasa. Hivyo, Wayahudi wengi wakaacha kumfuata. Hata hivyo, aliendelea na mapambano yake na watawala wa nasaba ya Seleuko, akafanya mkataba na Roma, na kujaribu kuanzisha Taifa huru la Wayahudi. Baada ya Judah kufa vitani, ndugu zake Jonathan na Simon waliendelea na mapambano hayo.
-