-
Biblia Yafika Kwenye Kisiwa Kikubwa ChekunduMnara wa Mlinzi—2009 | Desemba 15
-
-
Watu wa Madagaska walizungumza lugha yenye kupendeza sana na yenye asili ya Malaysia na Polinesia.
-
-
Biblia Yafika Kwenye Kisiwa Kikubwa ChekunduMnara wa Mlinzi—2009 | Desemba 15
-
-
Kazi ya Kutafsiri Yaanza
Mwanzoni mwa miaka ya 1820, Kimalagasi kiliandikwa kwa kutumia sorabe, yaani, maneno ya Kimalagasi yaliyoandikwa kwa kutumia herufi za Kiarabu. Ni watu wachache sana ambao wangeweza kusoma maandishi hayo. Hivyo, baada ya wamishonari hao kushauriana na Mfalme Radama wa Kwanza, mfalme huyo aliwaruhusu kutumia herufi za Kiroma badala ya sorabe.
-