-
Biblia Yafika Kwenye Kisiwa Kikubwa ChekunduMnara wa Mlinzi—2009 | Desemba 15
-
-
Kazi ya Kutafsiri Yaanza
Mwanzoni mwa miaka ya 1820, Kimalagasi kiliandikwa kwa kutumia sorabe, yaani, maneno ya Kimalagasi yaliyoandikwa kwa kutumia herufi za Kiarabu. Ni watu wachache sana ambao wangeweza kusoma maandishi hayo. Hivyo, baada ya wamishonari hao kushauriana na Mfalme Radama wa Kwanza, mfalme huyo aliwaruhusu kutumia herufi za Kiroma badala ya sorabe.
-
-
Biblia Yafika Kwenye Kisiwa Kikubwa ChekunduMnara wa Mlinzi—2009 | Desemba 15
-
-
Baadaye, alimtia moyo Radama wa Kwanza, mfalme wa Madagaska, awaalike walimu kutoka kwa Shirika la Wamishonari la London (LMS) kwenye Kisiwa Kikubwa Chekundu, yaani Madagaska.
-
-
Biblia Yafika Kwenye Kisiwa Kikubwa ChekunduMnara wa Mlinzi—2009 | Desemba 15
-
-
Kizuizi kingine kilitokea Julai 27, 1828 (27/7/1828), baada ya kifo cha Radama wa Kwanza. Mfalme Radama alikuwa ameunga mkono sana kazi hiyo ya kutafsiri. Wakati huo David Jones alisema hivi: “Mfalme Radama ni mchangamfu na mwenye fadhili kwelikweli. Anapenda sana elimu kuliko Dhahabu na Fedha, na anaheshimu sana mafundisho ambayo watu wake wanapata kuhusu mambo ya ustaarabu.”
-