-
Maendeleo Makubwa Nchini Malawi—Majumba 1,000 ya Ufalme!Amkeni!—2012 | Mei
-
-
Mapema katika miaka ya 1900, Mashahidi wa Yehova, ambao wakati huo walijulikana kama Wanafunzi wa Biblia, walianza kufundisha kweli za Biblia nchini Malawi. Kufikia mwaka wa 1967, idadi ya Mashahidi ilikuwa imefika 17,000 hivi.
-
-
Maendeleo Makubwa Nchini Malawi—Majumba 1,000 ya Ufalme!Amkeni!—2012 | Mei
-
-
Agosti 12, 1993 walifurahi kama nini kwamba baada ya miaka 26, marufuku juu ya kazi yao iliondolewa! Hata hivyo, tatizo jipya lilizuka. Wakiwa Mashahidi zaidi ya 30,000 katika makutaniko 583, hawakuwa na mahali panapofaa pa kukutania ili kuabudu!
-
-
Maendeleo Makubwa Nchini Malawi—Majumba 1,000 ya Ufalme!Amkeni!—2012 | Mei
-
-
Kama unavyoweza kuwazia, Mashahidi wa Yehova zaidi ya 75,000 nchini Malawi wanathamini sana utegemezo wanaopata kutoka kwa ndugu na dada zao wa kiroho ulimwenguni pote.
-