-
Upanuzi wa Haraka Wahitajiwa kwa Sababu ya Ongezeko KubwaMnara wa Mlinzi—2002 | Mei 15
-
-
Mwanzoni mwa mwaka wa 2001, ripoti moja kutoka Malawi ilisema: “Mambo ambayo yametimizwa katika nchi hii yanavutia kwelikweli. Miezi miwili ijayo, tutakamilisha Majumba ya Ufalme zaidi.” (Picha ya 1 na ya 2)
-
-
Upanuzi wa Haraka Wahitajiwa kwa Sababu ya Ongezeko KubwaMnara wa Mlinzi—2002 | Mei 15
-
-
Kutaniko la Nafisi nchini Malawi laripoti: “Sasa tuna Jumba zuri la Ufalme linalotoa ushahidi mzuri. Kwa hiyo, ni rahisi kuanzisha mafunzo ya Biblia.”
-