Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Julai 15
    • Wanaweza kupangia hotuba inayoeleza kwa nini ukosefu huo wa utaratibu wapasa kuepukwa. Hawatataja majina yoyote, lakini hotuba yao ya kuonya itasaidia kulinda kutaniko kwa sababu wasikivu watakuwa waangalifu zaidi na watapunguza utendaji wa kirafiki na watu wowote ambao kwa wazi wanaonyesha ukosefu huo wa utaratibu.

  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Julai 15
    • Ikiwa haoni kosa la njia yake na anaendelea kuwa uvutano usiofaa, wazee wanaweza kulionya kutaniko kupitia hotuba ambayo huonyesha waziwazi maoni ya Biblia—iwe yahusu kufanya miadi ya kijinsia na wasioamini, au mwendo mwingine usiofaa. (1 Wakorintho 7:39; 2 Wakorintho 6:14)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki