Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Viumbe wa Ajabu Katika Pori la Tasmania
    Amkeni!—2012 | Aprili
    • Mnyama anayevutia zaidi ni wombati wa kawaida, mnyama mnene, mtulivu, na anayependeza. Wombati wa kike wana mbeleko nao hunyonyesha watoto wao. Lakini tofauti na mbeleko za wanyama wengine, mdomo wa mbeleko za wombati unaangalia nyuma, na hilo husaidia kuhakikisha kwamba mtoto hachafuki mama anapochimba shimo. Pia wana meno ambayo hayaachi kukua, na hilo huwasaidia sana kwa kuwa wao hutumia meno yao kuondoa vizuizi chini ya ardhi. Ingawa wanaonekana kuwa hawawezi kufanya mengi kwa sababu ya unene wao, wombati hao wana ustadi wa hali ya juu na wanaweza kubeba majani kwa kutumia miguu yao ya mbele na kuyaingiza mdomoni.

  • Viumbe wa Ajabu Katika Pori la Tasmania
    Amkeni!—2012 | Aprili
    • [Picha katika ukurasa wa 11]

      Wombati wa kawaida

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki