Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Maria Achagua “Fungu Jema”
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Septemba 1
    • Yesu hakumaanisha kwamba Martha hapendezwi na mambo ya kiroho. Kinyume chake, alimfahamu kuwa mwanamke aliyejitoa sana kwa Mungu.a Haikosi jambo hilo hasa ndilo lililomchochea kumwalika Yesu nyumbani kwake.

  • Maria Achagua “Fungu Jema”
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Septemba 1
    • a Uhakika wa kwamba Martha alikuwa mwanamke wa kiroho mwenye imani kubwa wathibitishwa na mazungumzo yake pamoja na Yesu baada ya kifo cha ndugu yake, Lazaro. Wakati huo, Martha ndiye aliyeonyesha hamu kubwa zaidi ya kukutana na Bwana-Mkubwa wake.—Yohana 11:19-29.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki