Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ni Nani Waliokuwa Watu wa Familia ya Yesu?
    Mnara wa Mlinzi—2003 | Desemba 15
    • Hata wanatheolojia fulani Wakatoliki wasiokubaliana na fundisho hilo la zamani, huunga mkono maoni ya kwamba Yesu alikuwa na ndugu na dada za kimwili. John P. Meier, aliyekuwa msimamizi wa shirika liitwalo Catholic Bible Association of America, aliandika hivi: ‘Katika Agano Jipya neno adelphos [ndugu] humaanisha tu ndugu au ndugu wa kambo linapotumiwa kwa njia halisi kuonyesha uhusiano fulani wa kimwili au wa kisheria.’a

  • Ni Nani Waliokuwa Watu wa Familia ya Yesu?
    Mnara wa Mlinzi—2003 | Desemba 15
    • a Makala “Maoni ya Dini Mbalimbali Kuhusu Ndugu na Dada za Yesu,” ya J. P. Meier, The Catholic Biblical Quarterly, Januari 1992, ukurasa wa 21.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki