-
Je, Ni Mafundisho ya Uwongo Au ya Kweli?—Ukweli Kumhusu YesuMnara wa Mlinzi—2010 | Aprili 1
-
-
Tofauti na yale ambayo vitabu vya Injili vinasema, wanatheolojia wengi wanadai kwamba Yesu alikuwa mzaliwa wa pekee wa Maria. Baadhi yao wanasema kwamba ndugu na dada za Yesu wanaotajwa katika Biblia ni binamu zake.d
-
-
Je, Ni Mafundisho ya Uwongo Au ya Kweli?—Ukweli Kumhusu YesuMnara wa Mlinzi—2010 | Aprili 1
-
-
d Wazo hili lililoungwa mkono na Jerome yapata mwaka wa 383 W.K. linapendwa na watu wengi wanaoamini kwamba Maria alibaki bikira maisha yake yote. Ingawa baadaye Jerome alitilia shaka wazo hili, watu wengi bado wanaliamini. Huo pia ndio msimamo wa Kanisa Katoliki.
-