-
Maria (Mama ya Yesu)Kutoa Sababu kwa Kutumia Maandiko
-
-
New Catholic Encyclopedia (1967, Buku la 7, uku. 378-381) inakiri hivi kuhusu chanzo cha imani hiyo: “ . . . [maneno] Mkingiwa Dhambi ya Asili hayafundishwi waziwazi katika Maandiko . . . Mababa wa kwanza wa Kanisa walimwona Maria kuwa mtakatifu lakini si asiye na dhambi kabisa . . . . Haiwezekani kutoa tarehe barabara wakati fundisho hilo liliposhikiliwa kuwa imani, lakini kufikia karne ya 8 au 9 inaonekana kwamba lilikuwa limekubaliwa kwa ujumla. . . . [Katika mwaka wa 1854 Papa Pius wa Tisa alifafanua fundisho hilo] ‘linalosema kwamba Bikira Maria alilindwa asipatwe na madoa yoyote ya dhambi ya asili wakati wa Kuchukuliwa Mimba kwake.’” Imani hiyo ilithibitishwa na Baraza la Pili la Vatikani (1962-1965).—The Documents of Vatican II (New York, 1966), kilichohaririwa na W. M. Abbott, S.J., uku. 88.
-
-
Maria (Mama ya Yesu)Kutoa Sababu kwa Kutumia Maandiko
-
-
Katika maelezo yake kuhusu tangazo lililofanywa na Papa Pius wa Kumi na Mbili mwaka wa 1950 lililofanya fundisho hilo kuwa kanuni rasmi ya imani ya Kikatoliki, kitabu New Catholic Encyclopedia (1967, Buku la 1, uku. 972) kinasema hivi: “Katika Biblia hakuna mtajo ulio wazi kuhusu Kuchukuliwa Mbinguni, hata hivyo Papa anasisitiza katika amri ya tangazo kwamba Maandiko ndiyo msingi wa ukweli huu.”
-
-
Maria (Mama ya Yesu)Kutoa Sababu kwa Kutumia Maandiko
-
-
Baada ya hapo, katika Baraza la Efeso mwaka wa 431 W.K., Maria alitangazwa na Kanisa kuwa The·o·toʹkos, maana yake “Mzaa-Mungu” au “Mama ya Mungu.”
-