-
Jinsi Kiarabu Kilivyokuja Kuwa Lugha ya WasomiAmkeni!—2012 | Februari
-
-
Mwanafalsafa aliyekuwa pia daktari, Ibn Sīnā, anayejulikana kwa jina Avicenna huko Ulaya (980-1037 W.K.), aliandika vitabu chungu nzima vilivyohusu mambo mbalimbali kama maadili na mantiki na vilevile mambo ya tiba na metafizikia. Mkusanyo wake wa mambo ya kitiba yaliyojulikana wakati huo, Canon of Medicine, ulitia ndani mawazo ya wanafalsafa maarufu Wagiriki, Galen na Aristotle. Mkusanyo huo uliendelea kuwa kitabu cha msingi cha kanuni za kitiba kwa karibu miaka 400.
-
-
Jinsi Kiarabu Kilivyokuja Kuwa Lugha ya WasomiAmkeni!—2012 | Februari
-
-
[Picha katika ukurasa wa 27]
Ukurasa kutoka kwenye kitabu cha Avicenna “Canon of Medicine”
-