Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Dundumio Lako Lina Tatizo?
    Amkeni!—2009 | Mei
    • Mtu Anapohitaji Matibabu

      Huenda mtu akapewa dawa za kupunguza dalili za kutokezwa kwa homoni nyingi kupita kiasi, kama vile moyo kupiga kwa kasi, kutetemeka kwa misuli, na wasiwasi. Matibabu mengine yanahusisha kuharibu chembe za dundumio ili tezi hiyo itokeze homoni chache. Na nyakati nyingine tezi hiyo inaweza kutolewa.

      Huenda daktari akapendekeza wagonjwa walio na tatizo la kutokezwa kwa homoni chache sana au waliotolewa dundumio watumie dawa zilizo na homoni ya T4 kila siku. Ili wawape kiwango kinachofaa cha homoni hiyo, madaktari huwachunguza wagonjwa hao mara kwa mara. Kansa ya dundumio inaweza kutibiwa kwa njia mbalimbali kutia ndani, kupitia madawa, upasuaji, kuingizwa kwa kemikali mwilini, na kupitia miale yenye iodini.

  • Je, Dundumio Lako Lina Tatizo?
    Amkeni!—2009 | Mei
    • c Amkeni! halipendekezi matibabu yoyote hususa. Ukishuku kwamba una tatizo na dundumio lako, mwone daktari aliye na ujuzi wa kuzuia na kutibu ugonjwa katika dundumio.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki