-
Kisasi cha Vijiumbe-MaradhiAmkeni!—1996 | Februari 22
-
-
Lakini mambo yalianza kubadilika katikati mwa miaka ya 1930 wakati ambapo wanasayansi walivumbua sulfanilamidi, kitu cha kwanza ambacho kingeshinda bakteria bila ya kumwumiza vibaya mtu aliyeambukizwa.a
-
-
Kisasi cha Vijiumbe-MaradhiAmkeni!—1996 | Februari 22
-
-
a Sulfanilamidi ni msombo wa kifuwele ambao kutoka kwao dawa za salfa hufanyizwa katika maabara. Dawa za salfa zaweza kuzuia kukua kwa bakteria, zikiruhusu mifumo ya kinga ya mwili iue bakteria.
-