-
Jinsi Kifo Cha Yesu Kinavyoweza KukuokoaMnara wa Mlinzi—2008 | Machi 1
-
-
Mwaka huu, Ukumbusho wa kifo cha Yesu Kristo utaadhimishwa Jumamosi (Siku ya Posho), Machi 22, baada ya jua kushuka. Tunakualika kwa uchangamfu uhudhurie mkutano huo wa pekee na hivyo kutii amri ya Yesu.
-