-
Melito wa Sardi Je, Alikuwa Mteteaji wa Kweli za Biblia?Mnara wa Mlinzi—2006 | Aprili 15
-
-
Kutetea Thamani ya Fidia
Kulikuwa na Wayahudi wengi katika majiji makubwa ya Asia Ndogo. Wayahudi wa Sardi, ambapo Melito aliishi, walikuwa wakiadhimisha Pasaka ya Kiyahudi mnamo Nisani 14. Melito aliandika hotuba yenye kichwa Pasaka (The Passover) ambayo ilithibitisha uhalali wa Pasaka chini ya Sheria na kutetea mwadhimisho wa Kikristo wa Mlo wa Jioni wa Bwana mnamo Nisani 14.
-
-
Melito wa Sardi Je, Alikuwa Mteteaji wa Kweli za Biblia?Mnara wa Mlinzi—2006 | Aprili 15
-
-
Hata hivyo, mwanahistoria Raniero Cantalamessa anasema hivi: “Kupungua kwa umaarufu wa Melito, kulianza hatua kwa hatua maandishi yake yalipoanza kutoweka—baada ya desturi ya Pasaka ya Jumapili kutia mizizi, yaani, wakati waadhimishaji wa Nisani 14 walipoanza kuonwa kuwa waasi-imani.”
-