Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Unaweza Kutosheleza Uhitaji Wako wa Kiroho
    Amkeni!—2009 | Desemba
    • Kwa kutofautisha, mtu ambaye hana roho ya Mungu anaitwa mtu wa kimwili, ambaye anayaona mambo ya kiroho kuwa upumbavu. Kwa sababu hiyo, anafanya maamuzi kwa kutegemea hekima ya wanadamu tu.

  • Unaweza Kutosheleza Uhitaji Wako wa Kiroho
    Amkeni!—2009 | Desemba
    • Hiyo ndiyo sababu wale wanaopinga utendaji wa roho ya Mungu, na badala yake wanachagua kufuata tamaa zao wenyewe na mambo yasiyompendeza Mungu, wanafafanuliwa kuwa watu wasio na hali ya kiroho. Wanaongozwa na tamaa na mapendezi ya kimwili tu.—1 Wakorintho 2:14; Yuda 18, 19.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki