-
Uzuri Mwingi Mno wa Kiti cha Ufalme cha Yehova cha KimbinguUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Na kiumbe hai wa kwanza ni kama simba, na kiumbe hai wa pili ni kama fahali mchanga, na kiumbe hai wa tatu ana uso kama wa mwanadamu, na kiumbe hai wa nne ni kama tai arukaye.” (Ufunuo 4:7, NW)
-
-
Uzuri Mwingi Mno wa Kiti cha Ufalme cha Yehova cha KimbinguUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
22 Kiumbe hai wa tatu ana uso kama wa mwanadamu. Huyo lazima awakilishe upendo wa kimungu, kwa kuwa duniani mwanadamu pekee ndiye aliumbwa katika mfano wa Mungu, akiwa na sifa bora sana ya upendo. (Mwanzo 1:26-28; Mathayo 22:36-40; 1 Yohana 4:8, 16)
-