-
Kutumikia kwa Moyo Wote Licha ya MajaribuMnara wa Mlinzi—2001 | Januari 1
-
-
Nilipokuja Mexico City, ofisi yetu ya tawi ilikuwa na watu 11. Sasa tuna watu wapatao 1,350 wanaofanya kazi hapo na 250 hivi kati yao wanajenga ofisi mpya ya tawi. Kazi hiyo itakapoisha, labda mwaka wa 2002, tutaweza kuwapa makao watu 1,300 hivi katika majengo yetu yaliyopanuliwa.
-
-
Kutumikia kwa Moyo Wote Licha ya MajaribuMnara wa Mlinzi—2001 | Januari 1
-
-
Juu kushoto: Familia yetu ya Betheli ya Mexico mwaka wa 1952, nikiwa mbele
-