Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Delta ya Ulaya Yenye Mandhari Mbalimbali
    Amkeni!—2005 | Oktoba 22
    • Makao Mazuri ya Wanyama

      Mamilioni ya ndege wa jamii zaidi ya 300 huja kwenye paradiso hiyo ya ndege. Karibu nusu ya waari weupe walio duniani na zaidi ya asilimia 60 ya aina fulani ya mnandi ulimwenguni hutaga mayai katika Delta ya Danube. Pia, karibu bata-bukini wote wenye manyoya mekundu kifuani ambao wamo katika hatari ya kutoweka, huja hapa wakati wa majira ya baridi kali. Katika mwezi wa Machi, waari hujenga viota vyao na kutaga mayai kwenye visiwa vya matete vinavyoelea vilivyo mbali. Majira ya kupukutika kwa majani yanapoanza, waari huhamia Delta ya Nile, Ugiriki, na pwani za Asia zilizo mbali kama vile India.

      Ndege hao hurudi kwenye Delta ya Danube si kwa sababu tu mazingira hayo yanafaa bali pia kwa sababu ya samaki. Kuna zaidi ya jamii 90 za samaki katika mifereji ya delta hiyo.

  • Delta ya Ulaya Yenye Mandhari Mbalimbali
    Amkeni!—2005 | Oktoba 22
    • [Picha katika ukurasa wa 26]

      Mdiria na zaidi ya jamii 300 za ndege huja kwenye paradiso hii ya ndege

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki