-
Ujumbe Wenye Tumaini kwa Mateka Walioshuka MoyoUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
naam, njoni, nunueni divai na maziwa, bila fedha na bila thamani.” (Isaya 55:1)
-
-
Ujumbe Wenye Tumaini kwa Mateka Walioshuka MoyoUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
6. Wayahudi watapataje faida wakinunua “divai na maziwa”?
6 Vilevile, Yehova anawatolea “divai na maziwa.” Maziwa hufanya watoto wapate nguvu na kukua. Vivyo hivyo, maneno ya Yehova yatawatia watu wake nguvu za kiroho na kuwawezesha kuimarisha uhusiano wao naye.
-