-
Moldova2004 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehovah
-
-
Kuanzia mwaka wa 1918 hadi 1940, Moldova ilitawaliwa na Rumania, ambayo ilikuwa ufalme wakati huo.
-
-
Moldova2004 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehovah
-
-
1940: Rumania yasalimisha Bessarabia kwa Muungano wa Sovieti, na jina labadilishwa kuwa SSR ya Moldavia.
1941: Rumania yatwaa Moldova tena. Ufashisti na vita vyasababisha Mashahidi wateswe.
1944: Muungano wa Sovieti wavamia Moldova tena. Mateso yaendelea.
-