Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Moldova
    2004 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehovah
    • Baadhi ya Majumba ya Ufalme yalitumiwa pia kwa ajili ya makusanyiko ya mzunguko. Hata hivyo, watu wengi sana walihudhuria hivi kwamba wengi walisikiliza wakiwa wameketi nje. Kwa hiyo, ndugu walianza kufikiria kujenga Jumba la Kusanyiko. Hawakusita. Mwaka wa 1992, walijenga Jumba la Kusanyiko la kwanza nchini Moldova katika kijiji cha Corjeuţi. Jumba hilo linalotoshea watu 800 lilijengwa kwa miezi mitatu tu. Mwaka uliofuata, Mashahidi wenyewe waligharimia na kujenga Jumba la Kusanyiko linalotoshea watu 1,500 huko Feteşti.

  • Moldova
    2004 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehovah
    • [Picha katika ukurasa wa 126]

      Jumba la Kusanyiko huko Feteşti

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki