-
Majengo ya Kale Yenye Jina la MunguAmkeni!—2004 | Januari 22
-
-
Kwa kupendeza, ndani ya majengo hayo mna Tetragramatoni—zile herufi nne za Kiebrania zinazowakilisha jina la Mungu.
Kwa mfano, fikiria Stična, mojawapo ya majengo ya watawa ya kale zaidi ya utaratibu wa Cistercian, lililoko nchini Slovenia. Lilijengwa mwaka wa 1135, miaka 40 hivi baada ya utaratibu wa watawa wa Cistercian kuanzishwa nchini Ufaransa. Ingawa jengo hilo limebadilishwa mara nyingi, bado lina mtindo wa awali wa karne ya 9 na madoido ya karne za baadaye. Sehemu ya ndani imepambwa kwa michoro na sanamu. Madhabahu ya upande mmoja yamerembwa kwa herufi kubwa za dhahabu za Tetragramatoni na kuzungushiwa pete ya fedha.
-
-
Majengo ya Kale Yenye Jina la MunguAmkeni!—2004 | Januari 22
-
-
Karibu na kijiji kidogo cha Podčetrtek, kuna nyumba ya watawa ya tangu karne ya 17. Ukichunguza kwa makini ndani ya nyumba utaona jina la Mungu kwenye picha.
-
-
Majengo ya Kale Yenye Jina la MunguAmkeni!—2004 | Januari 22
-
-
[Picha katika ukurasa wa 31]
Madhabahu ya nyumba ya watawa ya Stična
-