-
Mawasiliano ya Viumbe na MimeaAmkeni!—2003 | Septemba 22
-
-
Nondo wa hariri wa kiume wana vipapasio viwili vidogo vyenye manyoya mengi madogo-madogo. Vipapasio hivyo vinaweza kutambua hata molekuli moja ya kemikali ambayo humchochea nondo wa kike kujamiiana! Nondo wa kiume anapotambua molekuli 200 za nondo wa kike, ataanza kumtafuta.
-
-
Mawasiliano ya Viumbe na MimeaAmkeni!—2003 | Septemba 22
-
-
[Picha katika ukurasa wa 5]
Nondo wa hariri wana vipapasio vinavyopokea ujumbe haraka sana
[Hisani]
Courtesy Phil Pellitteri
-