-
Je, Uhai Unakosa Kuthaminiwa kwa Vyovyote?Amkeni!—2000 | Julai 8
-
-
“Ulimwengu hauthamini uhai. Uuaji waweza kutekelezwa kwa mamia machache ya pauni [za Uingereza] na kuna watu chungu nzima walio tayari kukodiwa ili kuua.”—The Scotsman.
-
-
Je, Uhai Unakosa Kuthaminiwa kwa Vyovyote?Amkeni!—2000 | Julai 8
-
-
◼ “Washiriki wachanga wa magenge [huko Mumbai, India] wanahitaji fedha sana, waweza kuua kwa kulipwa kiasi kidogo mno cha rupia 5,000 [dola 115 za Marekani].”—Far Eastern Economic Review.
-
-
Je, Uhai Unakosa Kuthaminiwa kwa Vyovyote?Amkeni!—2000 | Julai 8
-
-
◼ “Mkataba wa kumwua mtu huko Urusi [mwaka wa 1995] uligharimu dola 7,000 za Marekani kwa wastani . . . Mauaji ya mpango yameongezeka sana sambamba na mabadiliko makubwa ya kiuchumi yaliyotukia Urusi baada ya kuporomoka kwa ukomunisti.”—Shirika la habari la Reuters, yatokana na ripoti moja katika gazeti Moscow News.
◼ “Wakala mmoja wa mali isiyohamishika huko Brooklyn alikamatwa . . . na kushtakiwa kwa kosa la kumlipa kijana mmoja sehemu ya malipo ya dola 1,500 za Marekani ili aweze kumwua mke wake mjamzito na mama mkwe wake.”—The New York Times.
◼ ‘Malipo ya kumwua mtu katika Uingereza yanapungua. Malipo ya kumwua mtu yameshuka toka pauni 30,000 miaka mitano iliyopita hadi kiasi ambacho wengi wanaweza kumudu cha pauni 5,000 hadi pauni 10,000.’—The Guardian.
-