Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Muziki—Zawadi Ambayo Mungu Ameupa Moyo
    Amkeni!—2008 | Mei
    • Kwa sababu muziki unaweza kuwa na uvutano mkubwa juu ya moyo, tunapaswa kuwa wateuzi. Kwa mfano, mdundo mtamu unaweza kufunika maneno machafu ambayo yanapunguza uzito au hata kuchochea chuki, ukosefu wa maadili, au jeuri—mambo yasiyoweza kumvutia hata kidogo mtu yeyote anayependa mema. (Waefeso 4:17-19; 5:3, 4) “Linda moyo wako kuliko vitu vingine vyote vinavyopaswa kulindwa,” lasema Neno la Mungu, “kwa maana ndiko zinakotoka chemchemi za uzima.” (Methali 4:23) Ndiyo, kuteua muziki ni suala zito sana.a

  • Muziki—Zawadi Ambayo Mungu Ameupa Moyo
    Amkeni!—2008 | Mei
    • a Mbali na kukataa nyimbo zinazotukuza chuki, ukosefu wa maadili, na jeuri, wale wanaompenda Mungu na wanadamu wenzao wanakataa pia kusikiliza muziki unaounga mkono ibada ya sanamu, uzalendo, na uwongo wa kidini.—Isaya 2:4; 2 Wakorintho 6:14-18; 1 Yohana 5:21.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki