-
Mungu Ni “Mtendaji wa Mambo Makuu”—Jinsi Nilivyotambua Jambo HiloMnara wa Mlinzi—2010 | Desemba 1
-
-
Miaka 20 baadaye idadi ya Mashahidi iliongezeka na kufikia zaidi ya 2,500. Upanuzi zaidi ulifanywa katika ofisi ya tawi, na mnamo Januari 22, 2000, John E. Barr, mshiriki wa Baraza Linaloongoza la Mashahidi wa Yehova, akaja kutoka Marekani na kutoa hotuba ya kuzindua jengo la ghorofa mbili, ambalo leo linatumika kwa ajili ya ofisi na vyumba vya kulala.
-
-
Mungu Ni “Mtendaji wa Mambo Makuu”—Jinsi Nilivyotambua Jambo HiloMnara wa Mlinzi—2010 | Desemba 1
-
-
[Picha katika ukurasa wa 29]
Ofisi yetu ya tawi yenye kupendeza iliyozinduliwa mwaka wa 2000
-