Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kushikilia kwa Imara Jina la Yesu
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Yeye ambaye anashinda mimi nitampa baadhi ya ile mana iliyofichwa, nami nitampa kijiwe cha mviringo cheupe, na juu ya kijiwe cha mviringo cheupe jina mpya lililoandikwa ambalo hakuna mmoja anayejua isipokuwa yeye anayelipokea.” (Ufunuo 2:17, NW)

  • Kushikilia kwa Imara Jina la Yesu
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • 22, 23. Ni nini maana ya lile jina lililoandikwa juu ya kijiwe cha mviringo cheupe wanalopewa Wakristo wapakwa-mafuta, na hilo lapasa liandae kitia-moyo gani?

      22 Ni nini lile jina jipya lenye kuandikwa juu ya kile kijiwe cha mviringo cheupe? Jina ni njia ya kutambulisha mtu na kumtofautisha huyo na wengine. Hawa Wakristo wapakwa-mafuta wanapokea kile kijiwe cha mviringo cheupe baada ya wao kumaliza mwendo wao wa kidunia wakiwa washindi. Kwa wazi, basi, lile jina juu ya kijiwe cha mviringo cheupe linahusiana na pendeleo lao la kuwa wameunganishwa na Yesu mbinguni—cheo cha ukaribu zaidi sana cha utumishi wa kifalme kinachopasa kuthaminiwa kabisa kabisa na kufurahiwa na wale tu wanaorithi Ufalme wa kimbingu. Kwa sababu hiyo, ni jina au mtajo wa ofisi, “ambalo hakuna mmoja anayejua isipokuwa yeye anayelipokea.”—Linga Ufunuo 3:12.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki