-
Afrika Kusini2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
André Bornman na Stephen Jansen wanasimamia ofisi hiyo.
-
-
Afrika Kusini2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Esther Bornman, aliyekuwa painia wa pekee wakati huo, alijifunza Kikwanyama na baada ya muda angeweza kukizungumza vizuri hali kadhalika lugha nyingine ya kienyeji. Yeye na Aina Nekwaya, dada anayezungumza Kindonga, walitafsiri gazeti la Mnara wa Mlinzi, ambalo huchapishwa kwa sehemu katika Kikwanyama na Kindonga. Lugha hizo mbili zinatumiwa huko Ovamboland na watu wengi wanazielewa.
-