-
Afrika Kusini2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
William na Ellen Heindel wametumikia wakiwa wamishonari kaskazini mwa Namibia tangu mwaka wa 1989. Walihitaji kujifunza Kindonga kinachozungumzwa na Waovambo, wanaoishi katika eneo hilo. Wamepata baraka nyingi kwa sababu ya uvumilivu na bidii yao ya kuhubiri eneo hilo la ajabu. William anasema: “Tumewaona wavulana, ambao baadhi yao walikuwa wanafunzi wetu wa Biblia, wakikua na kuwa wanaume wa kiroho. Baadhi yao ni wazee na watumishi wa huduma kutanikoni. Sisi hujivunia vijana hao tunapowaona wakitoa hotuba makusanyikoni.”
-
-
Afrika Kusini2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
William na Ellen Heindel
-