-
‘Wafarijini Watu Wangu’Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
19, 20. Ili kukazia ukuu wa Yehova, Isaya atumia vielezi gani?
19 Namna gani mataifa yenye nguvu duniani—je, yaweza kumpinga Mungu atimizapo neno lake la ahadi? Isaya ajibu kwa kuyafafanua mataifa ifuatavyo: “Tazama, mataifa ni kama tone la maji katika ndoo, huhesabiwa kuwa kama mavumbi membamba katika mizani; tazama, yeye huvinyanyua visiwa kama ni kitu kidogo sana.
-
-
‘Wafarijini Watu Wangu’Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
20 Kwa maoni ya Yehova, mataifa yote ni kama tone la maji linaloanguka kutoka katika ndoo. Ni kama tu mavumbi membamba sana yaliyo kwenye mizani, yasiyo na uzito wowote.c
-
-
‘Wafarijini Watu Wangu’Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
c Kitabu cha The Expositor’s Bible Commentary chataarifu hivi: “Wafanyabiashara wa Mashariki ya Kati hawangejali tone dogo la maji lililo kwenye ndoo ya kupimia au vumbi kidogo kwenye mizani wakati wa kupimwa kwa nyama au matunda.”
-