Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waaminifu na Wenye Ujasiri-Japo Mnyanyaso wa Nazi
    Mnara wa Mlinzi—2000 | Aprili 1
    • Mwezi huohuo, Oktoba 1944, polisi walianza kumtafuta Bernard Luimes, shemeji ya Evert. Walimpata akiwa na Mashahidi wengine wawili—Antonie Rehmeijer na Albertus Bos. Albertus tayari alikuwa amefungwa kwa miezi 14 katika kambi ya mateso. Hata hivyo, alipoachiliwa, alianza tena kuhubiri kwa bidii. Kwanza, hao wanaume watatu walipigwa kikatili na wafuasi wa Nazi, kisha wakauawa kwa kupigwa risasi. Miili yao ilipatikana tu baada ya vita na kuzikwa upya. Punde tu baada ya vita, magazeti kadhaa yaliripoti mauaji hayo. Gazeti moja lilisema kwamba Mashahidi hao watatu walikuwa wamekataa katakata kufanyia Nazi kazi yoyote iliyopingana na sheria ya Mungu na kuongeza kwamba “jambo hilo lilifanya wauawe.”

  • Waaminifu na Wenye Ujasiri-Japo Mnyanyaso wa Nazi
    Mnara wa Mlinzi—2000 | Aprili 1
    • [Picha katika ukurasa wa 27]

      Kulia: Bernard Luimes; chini: Albertus Bos (kushoto) na Antonie Rehmeijer; chini: Ofisi ya Sosaiti huko Heemstede

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki