-
Waaminifu na Wenye Ujasiri-Japo Mnyanyaso wa NaziMnara wa Mlinzi—2000 | Aprili 1
-
-
Mnamo Juni 17, 1946, Malkia Wilhelmina wa Uholanzi aliipelekea risala za rambirambi familia moja ya Mashahidi wa Yehova jijini Amsterdam. Alipeleka risala hizo kwa sababu alivutiwa na mwana wa familia hiyo, Jacob van Bennekom, ambaye aliuawa na wafuasi wa Nazi wakati wa Vita ya Ulimwengu ya Pili.
-
-
Waaminifu na Wenye Ujasiri-Japo Mnyanyaso wa NaziMnara wa Mlinzi—2000 | Aprili 1
-
-
[Picha katika ukurasa wa 24]
Jacob van Bennekom
-