-
Sehemu ya 3—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Katika Uholanzi, ni mlinzi wa gereza mwenye fadhili aliyesaidia kwa kupata Biblia kwa ajili ya Arthur Winkler.
-
-
Sehemu ya 3—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
26. R. Arthur Winkler, Ujerumani na Uholanzi. Alipelekwa kwanza katika kambi ya mateso ya Esterwegen; aliendelea kuhubiri kambini. Baadaye, katika Uholanzi, alipigwa na Gestapo hadi akawa hatambuliki. Mwishowe akapelekwa Sachsenhausen. Alikuwa Shahidi mwaminifu-mshikamanifu mwenye bidii hadi kifo chake katika 1972.
-