Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Uadilifu Wachipuka Katika Sayuni
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • nami nitawalipa malipo katika kweli, nitaagana nao agano la milele.” (Isaya 61:8)

  • Uadilifu Wachipuka Katika Sayuni
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 23 Kwa sababu Wakristo watiwa-mafuta wanapenda haki kama Muumba wao, Yehova amewapa ‘malipo yao katika kweli.’ Mojawapo ya “malipo” ya jinsi hiyo ni agano la kudumu kwa wakati usiojulikana—lile agano jipya—ambalo Yesu aliwatangazia wafuasi wake usiku uliotangulia kufa kwake. Agano hilo ndilo lililoweka msingi wa kuwa kwao taifa la kiroho, watu wa pekee wa Mungu. (Yeremia 31:31-34; Luka 22:20) Chini ya agano hilo, Yehova atatumia faida zote za dhabihu ya fidia ya Yesu, kutia na msamaha wa dhambi kwa ajili ya watiwa-mafuta na wanadamu wengine wote waaminifu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki