-
Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Ukuta wa jiji ulikuwa pia na mawe ya msingi kumi na mawili, na juu yayo majina kumi na mawili ya mitume wa Mwana-Kondoo.” (Ufunuo 21:11b-14, NW)
-
-
Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Kupatana na hili, juu ya mawe ya msingi 12 yako majina ya wale mitume 12 wa Mwana-Kondoo. Ndiyo, Yerusalemu Jipya si taifa la kimnofu lenye kuasisiwa juu ya wana 12 wa Yakobo. Ni Israeli wa kiroho, lenye kuasisiwa juu ya “mitume na manabii.”—Waefeso 2:20, NW.
-
-
Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Misingi ya kuta za jiji ilikuwa imerembwa kwa kila namna ya jiwe la thamani: msingi wa kwanza ulikuwa yaspa, wa pili safirosi, ule wa tatu kalkedoni, wa nne emeraldi, wa tano sardoniksi, wa sita sardiosi, wa saba krisolito, wa nane berulosi, wa tisa topazi, wa kumi krisoprasosi, wa kumi na moja hayakintho-buluu, ule wa kumi na mbili amethistosi.
-
-
Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
12. Ni nini kinachoashiriwa na uhakika wa kwamba (a) misingi ya jiji imerembwa kwa vito vya thamani 12? (b) malango ya jiji ni lulu?
12 Hata misingi ya jiji ni mizuri, ikiwa imerembwa kwa vito vya thamani 12. Hii hukumbusha akilini kuhani mkuu wa Kiyahudi, ambaye katika siku za kisherehe alivalia efodi iliyotiwa njumu za mawe yenye thamani tofautitofauti 12 ambayo kidogo yafanana na haya ambayo yameelezwa hapa. (Kutoka 28:15-21) Hakika si sadifa! Badala ya hivyo, hukazia utendaji wa kikuhani wa Yerusalemu Jipya, ambalo Yesu, Kuhani Mkuu, ndiye “taa” yalo. (Ufunuo 20:6; 21:23; Waebrania 8:1)
-