-
Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
kuteremka chini katikati ya njia pana yalo.” (Ufunuo 22:1, 2a, NW)
-
-
Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
23. (a) Ni kwa nini inafaa kwamba mto wa maji ya uhai hutiririka kupitia njia pana ya Yerusalemu Jipya? (b) Ni ahadi gani ya kimungu aliyopewa Abrahamu itatimizwa wakati maji ya uhai yatatiririka kwa utele?
23 Wakati wa Utawala wa Miaka Elfu, manufaa za ule ukombozi zitatumiwa kikamili kupitia ukuhani wa Yesu na makuhani walio chini yake 144,000. Kwa kufaa, basi, mto wa maji ya uhai hutiririka kupitia katikati ya njia pana ya Yerusalemu Jipya. Walio washiriki walo ni Israeli wa kiroho, ambao pamoja na Yesu hujumlika kuwa mbegu ya kweli ya Abrahamu. (Wagalatia 3:16, 29) Kwa hiyo, maji ya uhai yanapotiririka kwa utele kupitia katikati ya njia pana ya jiji la ufananisho, “mataifa yote ya dunia” yatapata fursa kamili ya kujibarikia yenyewe kwa njia ya mbegu ya Abrahamu. Ahadi ya Yehova kwa Abrahamu itatimizwa kikamili.—Mwanzo 22:17, 18.
-