-
Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Pia, yeye akapima ukuta walo, kyubiti mia moja na arobaini na nne, kulingana na kipimo cha binadamu, wakati uo huo cha malaika.” (Ufunuo 21:15-17, NW)
-
-
Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
8. Ni nini kinachomaanishwa na (a) kuta za jiji za juu zenye kyubiti 144? (b) kipimo cha jiji chenye farlong’i 12,000? (c) jiji kuwa na umbo la mchemraba mkamilifu?
8 Kuta za juu zenye kyubiti 144 hutukumbusha kwamba jiji limefanyizwa kwa wana wa Mungu waliolelewa kiroho.
-